Some poets wataandika more about romance but deep down wanasuffer trust issues

x (p + b + c + o) - The formula for the perfect love poem ...

Kinyozi hajinyoi akijinyoa hajitakasi akijitakasa hujikata/


Guess ndo maana some poets wataandika more about romance but deep down wanasuffer trust issues/


So Si wanakesha na scripture ya Romans hoping that itawapea more trust plus Faith regardless of their issues /


Mwingine anabelieve love ni scam juu alipenda dame Fulani akamdisappoint/
Akikumbuka vile alimmwagilia maneno matamu kuliko Asali machozi tu/

[irp]
Hakuna anayechukia mapenzi si ata mfalme Solomon yalimfanya poet/


Lakini ikiwa too much ata mtu mwenye nguvu hawezani uliza Samson wengi huishia Kwa casket/


See, Society inawapressure cause too much is expected from them/


May be wanabelieve too much ndo mapoets walipatiwa na their failure itafanywa anthem/

[irp]
Wengine wakiwa in trouble poets watajituma kuwaliwaza but what about them?


Wakisongwa na mawazo apart from their pen NI Nani atajitolea kuwapa masikio?


Ni Nani ataelewa sometimes their words do not match their actions ni hisia wauficha ndo wasichome picha?
Juu society Imekataa kukubali pia wao ni binadamu


That is why wanafake smile Kuficha the sadness in their hearts which is the real picture

-Glady Shii

Leave a Reply and Don't Forget to Save your Logins.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.