Some poets wataandika more about romance but deep down wanasuffer trust issues

Kinyozi hajinyoi akijinyoa hajitakasi akijitakasa hujikata/ Guess ndo maana some poets wataandika more about romance but deep down wanasuffer trust issues/ So Si wanakesha na scripture ya Romans hoping that…

Spoken word: Status viewers ~ Glady Shii

Status viewers Those that I treasure do not know that I treasure them sijui kaa hiyo ndo reason why Mimi na nyinyi tubaki status viewersna wengine nikiwatext inbox Waukuwa zile…

Poetry: “Life before Corona” Glady Shii

This goes to this guy who feels that love life yake before Corona ikam was deeperHuyu chali mwenye alikuwa na mawazo ya one day atakuwa Her hubby na Mahari atalipa…

%d bloggers like this: